yupo bwana paschal cassian
nasema wewe mchizi wangu hata kuimc unaimba nyimbo zangu
nasema wewe ndo mwanangu hata kuimba unaimba nyimbo zangu
nasema wewe ndomwangu dogo malo
nasema asante ewe mungu wangu
yupo mahali hapa
nasema yupo mahalihapa
yupo yupo mahali hapa nasema yupu
nasema mooyo ungekua na kufuli
nasema sina ndugu
nasema asantee kweli we ni munguu
nasema kizunguzungu kimewapata
yupo bwana